Kitengo Cha Huduma Kwa Diaspora

Kitengo kinachoweza kukusaidia katika mipango yako ya uwekezaji, kurudi nyumbani, kodi, hati, ajira nk ni;

Department of Diaspora Engagement and Opportunities, Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation,
(Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki)
Government City,  Mtumba Area,
40466 , Dodoma, Tanzania.
P.O. Box 2933, Dodoma, Tanzania.
Phone: +255-26- 2323201-7
Tel: +25522 211906/07/08
Email: diaspora@nje.go.tz

Shares/Investment Schemes For Diaspora

Umoja Trust Fund – Asset Management and Investor Services (UTT-AMIS) is one of three organizations of the Unit Trust of Tanzania (UTT).
UTT- AMIS which started in 2015 operates 5 collective Investment Scheme i.e

1. Umoja Fund
2. Wekeza Maisha
3. Watoto Fund
4. Jikimu Fund and
5. Liquid Fund

UTT AMIS is inviting Tanzania’s in the Diaspora to invest at home through the funds that they manage and obtain attractive returns. In order to make investments in any of the Schemes, a Diaspora needs to open an account with the fund of choice and obtain Bank details. Once the account is open then an investor can wire of transfer funds to the chosen investment scheme.

For more information on UTT- AMIS please visit http://www.uttamis.co.tz. For General Information on different schemes and for downloading application forms please visit: http://www.uttamis.co.tz/index.php/forms.

Ushuru Kwa Diaspora Wanaporudi Nyumbani

Taarifa kuhusu masuala ya kodi na ushuru wa vifaa wakati unarudi nyumbani au Diaspora wanapopeleka misaada katika mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali. TEMBELEA TOVUTI YA TRA.

Bima Ya Afya Na Mazishi

Mwaka 2013, NSSF Tanzania walianzisha Hifadhi ya Jamii kwa Diaspora – WESTADI. Faida za kuwa mwanachama wa Hifadhi hii ni kama ifuatavyo;

Utaweza kuwapa BIMA ya AFYA ndugu wanne (4) wanaokutegemea Tanzania. BIMA hii ni pamoja na Diaspora mwanachama Kama ataugua na kuhitaji kutibiwa akija Tanzania. Pia ikiwa Diaspora atafariki na kuchagua kuzikwa Tanzania, Hifadhi hii itatoa gharama ya kusafirisha mwili kwenda Tanzania.

Kwa maelezo zaidi tafadhali TEMBELEA TOVUTI YA NSSF – WESTADI.

Kama una swali lolote usisite kutuandikia mailbox@tanemb.se

Vitambulisho Vya Taifa

Diaspora ya Watanzania mnashauriwa kuomba vitambulisho vya taifa (Kwa wale amabo hawajabadili uraia). Kitambulisho kinawasaidia katika huduma nyingi nje na ndani ya nchi. Tafadhali tembelea tovuti ya NIDA kwa taarifa zaidi na kupakua fomu za maombi.

  • Tanzania Diaspora in the USA, DICOTA Conversion 2011Tanzania Diaspora in the USA, DICOTA Conversion 2011