Photo Gallery

Balozi wa Tanzania , Mhe. Grace Olotu, amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Finland, Mhe. Sauli Niinisto tarehe 29 Septemba 2022 Ikulu jijini Helsinki, Finland