Balozi wa Tanzania nchini Finland mwenye makazi yake nchini Sweden, Mhe. Grace Olotu, amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Finland, Mhe. Sauli Niinisto katika hafla iliyofanyika tarehe 29 Septemba 2022 kwenye Ikulu  jijini Helsinki, Finland.